| MKUU WA WILAYA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIMKABIDI KITITA CHA SHILINGI MILIONI MOJA MSHIDI WA KWANZA WA NYAMA CHOMA TOKA SAIGON PUB JOSEPH ACUTE |
| MSHINDI WA PILI CITY PUB AKIKABIDHIWA CHETI NA SHILINGI LAKI NANE |
| MSHINDI WA TATU MBEYA CARNIVAL AKIKABIDHIWA CHETI NA PESA TASLIM SHILINGI LAKI SITA |
| WAPENZI WA NYAMA CHOMA TOKA SAIGON PUB WAKISHANGILIA USHINDI HUO |
| MENEJA WA BIA YA SAFARI LAGER OSCAR SHELUKINDO AKIMKARIBISHA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA RUNGWE KATIKA MASHINDANO HAYO YA NYAMA CHOMA |
| MKUU WA WILAYA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WAPENZI WA NYAMA CHOMA WALIOHUDHURIA MASHINDANO HAYO KATIKA VIWANJA VYA CCM ILOMBA MBEYA |
|
JAJI MKUU WA SHINDANO HILO DOUGLASS SAKIBU AKITAJA WASHINDI UWANJANI HAPO
|
| MKUU WA WILAYA RUNGWE AKIKAGUA NYAMA CHOMA UWANJANI HAPO |
| WAPENZI WA NYAMA CHOMA |
| BURUDANI MBALI MBALI ZILIKUWEPO UWANJANI HAPO |
PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment