Kilele cha wiki ya maji mkoa wa mbeya kiliazimishwa kwa maadamano toka katika ofisi za mamlaka ya maji na kuelekea katika chanzo cha maji cha mto sisimba jijini Mbeya |
Mkungurugenz wa Maji safi na taka Jijini Mbeya Simon Shauri akiongoza maandamano hayo ya kilele cha wiki ya maji
|
Mkungurugenz wa Maji safi na taka Jijini Mbeya Simon Shauri
akielezea wadau wa maji kuwa chanzo hicho cha maji cha sisimba kilichengwa mwaka 1945
|
Baadhi ya wadau wa maji na wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na taka wakishangaa nyoka katika chanzo hicho cha sisimba |
Pia nyoka nae akiwashangaa wadau hao wa maji kuwa wamemuingilia katika makazi yake |
Hiki ndicho chanzo ya maji cha sisimba Mbeya |
Mkungurugenz wa Maji safi na taka Jijini Mbeya Simon Shauri akizidi kuwaelekeza wadau mbali mbali wa maji jinsi maji yanavyohifandiwa kwenye matanki na kutiwa dawa |
Baada ya kutoka katika chanzo cha maji kuliendelea na kongamano fupi kuhusi maji ambapo wadau mbali mbali walichangia katika kongamano hilo |
Ngoma ya kingoni ikitumbuiza katika kilele cha wiki ya maji katika ukumbi wa Parish Mbeya |
Mkungurugenz wa Maji safi na taka Jijini Mbeya Simon Shauri akimkaribisha mgeni rasmi aongee na wadau wa maji katika kilele cha wiki ya maji
|
Mgeni rasmi Meya wa jiji la Mbeya Atanath Kapunga akiwahutubia wadau mbali mbali wa maji katika kilele cha wiki ya maji |
No comments:
Post a Comment