Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, January 21, 2013

HALMASHAURI YA RUNGWE YASHUKA UKUSANYAJI WA MAPATO KUTOKA MAKISIO YA JUNI HADI AGAST TSH KUTOKA MAKISIO YA TSH 2,369,298,000/= NA MAPATO YALIYOKUSANYWA NI SH 346,849,409.23 HIVYO KUSABABISHA WANANCHI WA RUNGWE KUKOSA MAENDELEO

MADIWANI WAKIAZIMIA BAADHI YA MAMBO NA KWA SAUTI MOJA WAMEITAKA KAMATI YA FEDHA YA HALMASHAURI YA RUNGWE KUJIPANGA UPYA KWA AJILI YA KUHOJI NA KUFUATILIA MIPANGO INAYOTOLEWA NA BARAZA LA MADIWANI KWA KUWA, KUSHUKA SANA KWA MAPATO NI KUASHIRIA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA RUNGWE HAWAFANYIKAZI ZINAZOWAPASA KUFANYA ZA KUKUSANYA MAPATO NA MADIWANI WAMEPOTEZA MUELEKEO WA KUSIMAMIA KUKUSANYA MAPATO
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE MHESHIMIWA MWAKASANGULA AKIONGEA NA WATUMISHI NA MADIWANI WA RUNGWE KATIKA KIKAO CHA KAWAIDA AMBAPO AMEWATAKA WATENDAJI NA MADIWANI KUWAJIBIKA KWA KUFANYA KAZI NA KUKUSANYA MAPATO ILI KUONGEZA CHACHU YA MAENDELEO KWA WANANCHI
DC WA RUNGWE MR CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA MADIWANI NA WATAALAM PAMOJA NA WANANCHI WALIOHUDHURIA KIKAO HICHO
KAIMU MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE MR MWANSASU AKIJIBU HOJA MBALIMBALI NA KUWASIRISHA HOJA KWA MADIWANI
KATI YA MADIWANI WALIOPATA NAFASI YA KUONGEA KWA UCHUNGU JINSI HALMASHAURI YA RUNGWE INAVYOPOTEZA MUELEKEO KWA KUTO KUSANYA MAPATO KATIKA VYANZO MBALIMBALI AMBAPO HADI SASA MAPATO YAMESHUKA KUTOKA MAKISIO YA TSH 2,369,298,000/= NA MAPATO YALIYOKUSANYWA NI SH  346,849,409.23 KWA MUDA WA MWEZI WA JUNI HADI MWEZI AGOST
MR MBAI KUSHOTO AMBAYE NI AFISA UTUMISHI WILAYA YA RUNGWE NA MR SHIRIMA DT WA RUNGWE WAKIFUATILIA MIJADARA YA MADIWANI KWA MAKINI
JENGO LA ZAMANI AMBALO BADO LINAENDELEA KUTUMIKA
JENGO JIPYA LA HALMASHAURI YA RUNGWE

Picha na habari Ally Kingo Rungwe

No comments: