| MKUU WA MKOA MBEYA ABAS KANDORO AKIKAGUA GWARIDE LA KIKOSI CHA KUTULIZA FUJO KATIKA KIWANJA CHA FFU MBEYA HIVI KARIBUNI |
| MKUU WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMANDA DIWANI AKIMKARIBISHA MKUU WA MKOA MBEYA KATIKA SHEREHE HIZO ZA WANAFAMILIA WA POLISI JIJINI HAPA |
| MKUU WA MKOA MBEYA AKIONGE NA WANAFAMILIA WA POLISI |
| BAADHI YA WAGENI WAALIKWA WAKIMSIKILIZA MGENI RASMI |
| BAADHI YA ASKARI 21 WALITUNUKIWA VYETI VYA UTUMISHI MZURI KATIKA JESHI HILO LA POLISI |
| BAADHI WA WANAFAMILIA WA POLISI WAKICHEZA TAARABU UWANJANI HAPO |
| BAADHI YA WADAU WALITUNUKIWA VYETI VYA USHIRIKIANO MWEMA NA JESHI LA POLISI HAPA KIONGOZI WA DINI AKIPOKEA HATI HIYO |
| MAKAMPUNI YA ULINZI YA WATU BINAFI PIA WALIPOKEA HATI HIYO YA USHIRIKIANO NA JESHI LA POLISI |
| MOJA YA WAFANYABIASHARA WA JIJI LA MBEYA JULIUS KAIJAGE AKIPOKEA HATI HIYO |
| PIA MKUU WA MKOA MBEYA ALIKABIDHI PIKIPIKI KWA JESHI HILO LA POLISI PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment