![]() |
| JAMAA ANAEHISIWA KUWA MWIZI WA MOTA AMEPATA KIPIGO KIKUBWA NUSURA AUWAWE KWA HASIRA ZA WANANCHI AMEJULIKANA KWA JINA MOJA TU WILLY |
![]() |
| JAMAA HUYU INASEMEKANA NI MZOEFU SANA WA WIZI ANATAFUTWA SANA ENEO LA ISYESYE JIJINI MBEYA KWA TUHUMA ZAKE ZA WIZI |
![]() |
| HII NDIYO MOTA ALIYOKUTWA NAYO HUYO ANAEHISIWA KUWA MWIZI |
![]() |
| JAMAA ASHUKURU POLISI LASIVYO MAUTI YANGEMKUTA |
![]() |
PICHA NA MBEYA YETU |











No comments:
Post a Comment