Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, January 20, 2013

AJALI YA BASI LA NGANGA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO NA MAJERUHI ZAIDI YA 40 WAPELEKWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA

BASI LA NGANGA LILILOKUWALINATOKEA MBEYA KWENDA DSM LIMEPINDUKA ENEO LA IMEZU  MBEYA AJALI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA MBILI ASUBUHI ABIRIA MMOJA AMEFARIKI PAPO HAPO NA ZAIDI YA MAJERUHI 40 WAMEPELEKWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA ABIRIA ALIYEFARIKI AMETAMBUWA KWA JINA LA ENOCK LWILA MKAZI WA MAMA JOHN MBEYA NA NIMFANYABIASHARA MWANJELWA
BAADHI YA WAKAZI WA IMEZU WAMESEMA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO KASI 

MWILI WA MAREHEMU ENOCK LWILA  UKIWA UMELAZWA CHINI KUSUBIRI WANA USALAMA KUJA UCHUKUA
MAREHEMU ENOCK LWILA AMEKUTWA NA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15 KATIKA SOKSI NA KWENYE MIFUKO YAKE YA SURUALI INASEMEKEANA ALIKUWA ANAENDA DSM KUNUNUA BIDHAA MBALIMBALI ZA DUKANI KWAKE
HAPA WANAUSALAMA WAKIHESABU PESA WALIZOZIKUTA KWENYE MWILI WA MAREHEMU ENOCK HUKU WANANCHI WAKISIMAMIA KWA MAKINI ZOEZI HILO LA KUHESABU HIZO HIZO PESA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15  ALIKUWANAZO MAREHEMU 

TAARIFA KAMILI YA KUHUSU AJALI HII TUTAWALETEA BAADAE


PICHA KWA HISANI YA KAMANGA

4 comments:

Anonymous said...

Imefikia wakati sasa madereva wote wa mabasi mbeya wakaguliwe upya leseni na kufanyiwa majaribio upya

facebook said...

Mungu ailaze roho ya marehemu pema pepon. Ameen

Anonymous said...

Mbeya sasa yatupasa kuchukua hatua kali zaidi. Hajali zinatishia uhai wetu kwani kila kukicha utasikia kule,,, huki,,,. Inaleta hofu hata kupanda daladala. Mungu awasaidie majeruhi wapone haraka wakaendelee na mapambano ya maisha. Napi amlaze pema peponi ndugu yet aliyefariki. Amen- Man

Anonymous said...

Mungu awasaidie majeruhi, napia amlaze pemapeponi marehemu. Lakini madereva yawapasa kuwa makini nakutambua kuwa wamebeba abiria na sio mizigo.