Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, December 10, 2012

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA( TCRA) WAPO MKOANI MBEYA KUPIMA MIONZI YA MINARA YA MAWASILIANO

Baadhi ya wataalamu toka mamlaka ya mawasiliano Tanzania wakiwa katika kupima kiwango cha mionizi ya minara ya mawasiliano mkoani Mbeya hapa ni eneo la ofisi za jiji la mbeya

Hii siyo Mic yaani cha kusemea bali ni moja ya vifaa vya kupimia mionzi ya minara ya mawasiliano hapa nchini


Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA, Dk. Ali Simba.
akiwa na watumishi wenzake bwana Asajile ailiyeshika kifaa hicho cha kupimia mionzi kushoto kabisa ni Peter Kihongo yeye ni mwanasayansi wa masafa wakiwa katika kuelekezana jambo fulani la kitaalamu


Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA, Dk. Ali Simba. akiongea na mbeya yetu juu ya umuhimu wa kifaa hicho cha kupimia mionzi ya minara ya mawasiliao

Picha na Mbeya yetu


No comments: