Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, December 13, 2012

LIVEE UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA WAANZA KUTUMIKA NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA

UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA
ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO

MWANDISHI WA HABARI KAMANGA WA BLOG YA MATUKIO AKISHUKA TOKA KATIKA NDEGE KUZINDUA UWANJA HUO
BAADHI YA WTUMISHI WA UWANJA HUO WAKISHUSHA MIZIGO TOKA KATIKA NDEGE
BAADHI YA ABILIA  WALIOSHUKA UWANJANI HAPO
MAMA HELLEN RAIA WA UGANDA AKIFURAHIA KUTUA KATIKA KIWANJA HICHO CHA SONGWE MBEYA
MWENSHIMIWA DIWANI WA KATA YA SISIMBA G. KAJIGIRI AKISUBIRI MGENI WAKE TOKA DSM
MOJA YA MAAFISA WA UHAMIAJI UWANJANI HAPO

TUTAZIDI KUWALETEA KINACHOJIRI UWANJANI HAPA SONGWE

2 comments:

VICKLIKE said...

SAFI SANA VIPI KUHUSU BEI ZA NDEGE..LIFANYIE RESEACH,..AND ASANTE KWA KUTUPA HABARI ZA KWETU....MBEYA JUU

vicky manase said...

VIPI KUHUSU BEI ZA USAFIRI ....?