KWA TAARIFA ZILIZO RASMI NA ZILIZO TUFIKIA KATIKA CHUMBA CHETU CHA HABARI , MWANDISHI WETU ALIYEPO MUDA HUU ENEO LA SOKO LA SIDO ANASHUHUDIA MOTO MKUBWA AMBAO UNAWAKA SASA HUKU CHANZO CHA MOTO HUO HAKIJA FAHAMIKA MPAKA SASA. HATA HIVYO JUHUDI ZA KUZIMA MOTO HUO ZINAFANYIKA SASA NA WATU WA ZIMA MOTO WAKISHIRIKIANA NA WANANCHI.
ENDELEA KUFUATILIA
No comments:
Post a Comment