JAMAA KAZIMWA MIA YAKE YA EMBE AAMUA KUANZISHA NGUMI YAANI SASA MAEMBE YOTE YAMETAWANYIKA NA NGUMI ZINAENDELEA |
KUSAIDIANA IPO JAMAA MWINGINE AINGILIA UGOMVI KAZI IPO HAYA NDIYO MAISHA YA BAADHI YA VIJANA HUKO MANOW RUNGWE |
KIJIJI CHETU HIKI CHA IKAMBAKU MANOW WILAYANI RUNGWE
MKOANI MBEYA KIONEKANAVYO UKIWA MLIMANI NA NDIKO NGUMI HIZO ZILIKUWA ZIKIPIGWA
Picha na Ally Kingo Tukuyu
|
1 comment:
Mbona hilo jengo walipodondoshana lilivyo na lilivyo kaa ni kama Lwangwa?
Post a Comment