![]()  | 
| BAADHI YA WASHEREHESHAJI WA JIJI LA MBEYA WAKIWA WAMEBEBA MSARABA NA PICHA YA MAREHEBU BARAKA CHAWE WAKIELEKEA ENEO LA IBADA YA MWISHO YA KUMWOMBEA MAREHEMU CHAWE | 
![]()  | 
| MA MC WAJIJI LA MBEYA WAKIWA WAMEUBEBA MWILI WA MC MWENZAO BARAKA CHAWE | 
![]()  | 
| ASKOFU WA K.K.K.T JOB MBWILO AKIONGOZA IBADA YA MAZISHI YA MC BARAKA CHAWE HUKO KIJIJINI KWAO ISYONJE | 
![]()  | 
| BAADHI YA NDUGU NA JAMAA WAKIMSIKILIZA ASKOFU WAKATI WAIBADA YA MAZISHI YA BARAKA CHAWE | 
![]()  | 
| WAKAZI WAMAENEO MBALI MBALI YA JIJI LA MBEYA NA VITONGOJI VYAKE WALIHUDHURIA MAZISHI YA MPENDWA WAO BARAKA CHAWE | 
| MWILI WA MAREHEMU BARAKA CHAWE UKISHUSHWA KABURINI | 
| ULITOKA MAVUMBINI UTARUDI TENA MAVUMBINI BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE AMEN | 
| BABA NA MAMA WA MC BARAKA CHAWE WAKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA MTOTO WAO | 
| MTOTO WA PEKEE WA MAREHEMU BARAKA CHAWE RACHEL AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA BABA YAKE | 
![]()  | 
| KWAKWELI WENGI WALIJITOKEZA KATIKA MAZISHI HAYO KIJIJINI ISYONJE LICHA YA KUWA NA MVUA ILIYOKUWA INAENDELEA KUNYESHA PICHA NA MBEYA YETU  | 






No comments:
Post a Comment