| Bodaboda ikiendelea kuteketea kwa moto |
| Wasamaria wema wakimsaidia dereva wa bodaboda kumvua baadhi ya nguo maana pia yeye alianza kuwaka moto |
| Dereva bodaboda akisubiri gari ya kumpeleka katika hospitali ya rufaa jijini Mbeya |
| Tayari dereva bodaboda amepata msaada wa gari kukimbizwa hospitalini |
![]() |
| kikosi cha zimamoto kikiwa kimefika eneo la tukio |
![]() |
| mmiliki wa gari ya aina ya toyota harrier amejlikana kwa jina moja tu Luvanda akitolewa katika gari yake |
![]() |
| Hapa bwana Luvanda akipiga simu kwa ndugu na jamaa kuwajulisha ajali iliyompata |
![]() |
| Pikipiki hiyo kikizimwa na kikosi cha zimamoto mbeya |
![]() |
shukrani kwa mdau wa mbeya yetu bwana Makwale Zuru kwa kutupa taarifa ya jajali hiyo maeneo ya ilomba |









1 comment:
Thanks God Aliokoa Maisha Ya Watu.
Post a Comment