| 
 
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima ndiye alikuwa msimazi wa uchaguzi huu akitangaza matokeo 
 | 
| 
 
Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mstaafu mkoa wa Mbeya,
Nawab Mullah, akimkaribisha mwenyekiti mpya Mh Zambi 
 | 
| Allan Mwaigaga ambaye amepata kura 318 na kuwa mshidi wa pili akiwashukuru wanachama wa ccm katika uchaguzi huo na kusema sasa makudi yavunjwe maadam mshindi kapatikana | 
| 
 
Reginald
Msomba aliyepata kura 237. mshindi wa tatu nae pia akiwashukuru wanachama wa ccm katika uwanja wa sokoine jijini mbeya 
 | 
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro kulia katikati chales Mwakipesile kushoto kabisa mwenyekiti mstaafu mulla wakiwa makini kufuatilia matokeo uwanjani hapo mida ya saa sita kamili usiku | 
| wanachama wa ccm wakiwa makini kusikiliza matokeo uwanjani hapo | 
| Mwenyekiti mpya Zambi akipongezwa na mwenyekiti mstaafu Mullah mara baada ya kutangazwa mshindi | 
| Baadhi ya wanachama wa ccm wakimvisha mwenyekiti wao mpya mashada ya maua | 
| Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima akimsisitizia jambo fulani mwenyekiti mpya wa ccm mkoa wa mbeya G. Zambi | 
![]()  | 
| Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mashariki Godfrey Zambi amabaye sasa ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mbeya akiwashukuru wanachama wa chama hicho kwa kumchagua Habari na picha Mbeya yetu blog  | 

No comments:
Post a Comment