HELKOPTA HIYO IKIONDOKA UWANJANI HAPO
MAMIA YA WAKAZI WA MJI WA TUKUYU LEO WALIPATWA NA TAHARUKI BAADA
YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA UWANJA WA TANDALE WAKIDHANIA NI NDEGE ZA MALAWI
WAMEKUJA KUIPIGA TANZANIA. LAKINI CHA KUJIULIZA WATU WENGI HAWAKUJIHADHARI NA
HILO WALILOLIDHANIA BADALA YA KUCHUKUA TAHADHARI AJABU WATU WAZIMA, WATOTO
VIJANA NA HATA VIONGOZI WALIOKUWA OFISIN MUDA HUO WALITOKA KUELEKEA KUSHANGAA
KULIKONI KUTUA NDEGE HAPO. IMANI YANGU KUWA PAMOJA NA MGOGORO ULIOPO KATI YA
MALAWI NA TANZANIA KUHUSU MPAKA ULIOPO ZIWA NYASA WATANZANIA TUNATAKIWA KUPATA
ELIMU YA USALAMA KWANZA MAANA TUNAPENDA KUKIMBILIA MATUKIO TUSIYOYAJUA, MENGINE
NI HATARI.
Na Ally Kingo Tukuyu
|
No comments:
Post a Comment