Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, October 25, 2012

WACHEZA KAMALI HADHARANI HUKU WANAUSALAMA NA WAZAZI WAKIWAANGALIA TU BILA YA KUCHUKUA HATUA NI VIJANA WALIOMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA HUU MBALIZI MBEYA

Vijana waliomaliza darasa la saba mwaka huu hapa Mbalizi baadhi yao wameanza kucheza kamali bila ya uoga wowote ule na tena hadharani bila ya kukemewa wala kuchukuliwa hatua yeyote ile mbeya yetu ilipoongeanao walisema wazazi wao




No comments: