MKUU WA MKOA WA MBEYA ABAS KANDOL0 AMEVUNJA BARAZA LA MADIWANI
WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA NA KUTANGANZA RASMI HALMASHAURI YA RUNGWE
ITAKAYO KUWA NA KATA 26 NA KUITANGAZA HALMASHAURI YA BUSOKELO ITAKAYOKUWA NA
KATA KUMI NA MOJA.
AKIONGEA NA BARAZA LA MADIWANI MKUU WA MKOA WA MBEYA AMSEMA KUWA
SERIKALI IMEANZISHA KIFUNGU (sub_vote) Na>7813140 NA KUTENGA FEDHA KWENYE
BAJET YA MWAKA WA FEDHA 2012/2013 KWA AJILI YA HALMASHAURI YA BUSOKELO, YENYE
JUMLA YA TSH 12,549,250,889/=
HALMASHAURI YA RUNGWE ITAKUWA IKIONGOZWA NA MKURUGENZI NOEL
MAHYENGA PIA HALMASHAURI YA BUSOKELO ITAKUWA INAONGOZWA NA IMELDA ISHUZA
ALIYETEULIWA KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO INAYOANZA LEO KUWAHUDUMIA
WANANCHI WA BUSOKELO.
AKITOA SARAM ZA MKOA MKUU WA MKOA WA MBEYA KANDOLO AMEWATAKA
WANANCHI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUCHANGIA SHUGHURI ZA MAENDELEO NA HILI
ITAZIZIFANYA HALMASHAURI KUWA MAENDELEO ZAIDI.
PIA AMESEMA HAITAKUWA NA MAANA KUWA NA HALMASAHAURI MBILI BILA
YA KUJIBIDISHA KUFANYA KAZI ZA MAENDELEO NA KUKUSANYA USHURU ILI KUJIWEZESHA
KUJITEGEMEA
ZAIDI AMEWAPONGEZA WANANCHI WA BUSOKELO KUPATA HUDUMA ZA
MAENDELEO KARIBU NA WAO
AMEWAHAKIKISHIA KUWA
SERIKALI KWA KUZINGATIA AHADI YA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR
JAKAYA KIKWETE ALIYOITOA KATIKA KIPINDI CHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA
2010 OMBI LILILOTOLEWA NA MBUNGE WA RUNGWE MASHARIKA PROF MARK MWANDOSYA KATIKA
KIWANJA CHA TANDALE NA RAIS ALIAHIDI KUIFANYA WILAYA YA RUNGWE KUWA NA
HALMASHAURI MBILI RUNGWE NA BUSOKELO NA LEO AHADI HIYO IMETIMIA KWA KUPATA
HALMASHAURI YA MPYA YA BUSOKELO.
Kwa hisani ya kingo blog
|
No comments:
Post a Comment