Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, October 3, 2012

LIVE!!TUKIO LA KUMSINDIKIZA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA PAMOJA NA DEREVA WAKE KUELEKEA UWANJA WA NDEGE KWA AJILI YA MATIBABU ZAIDI DAR ES SALAAM!

 MH. MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA AKIWA ANASHUSHWA KATIKA GARI LA WAGONJWA KWA AJILI YA KWENDA KUPANDA NDEGE 
 VIJANA WAKIWA WAMEMBEBA KWA MAKINI 
 MUHESHIMIWA MBUNGE AKIWA AMEPUMZIKA
 AKIPEWA POLE NDANI YA UWANJA WA NDEGE

 MH. MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEWASILI UWANJA WA NDEGE MBEYA

 MUHESHIMIWA MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA 
 MAMA HILDA MGOYE PAMOJA NA MAMA KYENDESYA WAKIWA KUMPA POLE NA KUMSINDIKIZA MUHESHIMIWA MBUNGE
 MKUU WA MKOA MUHESHIMIWA ABASS KANDORO AKIMPA POLE TENA MH. MARY MWANJELWA


 DEREVA WA MUHESHIMIWA MBUNGE AKIWA KATIKA GARI LA WAGONJWA AKINGOJEA KUSAFILISHWA KWENDA DAR ES SALAAM. DEREVA HUSU AMEUMIA SANA MIGUU YOTE PAMOJA NA KICHWA.

ENDELEA KUFUATILIA.. TONE MEDIA LIVE GROUP TUPO ENEO LA TUKIO SASA
No comments: