| Hakika wazee wengi na vijana wamejitokeza katika kufanya usafi katika makaburi haya ya isanga |
| Mzee mbio akiwahi kufanya usafi kweli leo wamegoma kusherehekea Idi |
| Bibi nae hakucheza mbali na eneo la tukio hataki mchezo yupo kukwatua visiki vidogodogo hapo makaburini |
| Bibi sasa amechoka anasaidiwa jembe |
| Watangazaji wa Bomba FM Gabriel na Kamanga matukio nao waliungana na wakazi hao wa isanga katika kufanya usafi wa makaburi hayo ya isanga |
| Joseph mwaisango wa mbeya yetu hakucheza mbali natukio hilo nae akifanya usafi kuwakilisha Tone Multimedia company Limited |
| Kwa sasa hali ndiyo inaonekana hivi na usafi unazidi kuendelea hapa katika makaburi ya isanga |
| Haya maeneo bado yataendelea kufyekwa |
| Wenye kuleta maji haya chai sawa yaani ni raha tu hapa makaburini |
No comments:
Post a Comment