Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, October 31, 2012

LIVE!! SAKATA LA UKOSEFU WA MAFUTA JIJINI MBEYA.. HALI NI TETE .. DALA DALA NI 1000 KITUO HADI KITUO

 Foleni ya kutosha kuelekea kufuata mafuta
 Boda nazo zinangoja mafuta hapa 
 Magari yakiwa  yameongozana foleni kwa ajili ya kutaka mafuta
 Barabara nyeupe watu wamepaki magari Majumbani kahuna mafuta 
 Daladala nazo shida , hizi ni baadhi ukipanda tuu kila kituo utalipia 1000

 Hii Gari ya kwanza mwisho ni ya Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu nae yupo kwa foleni 





 Boda Limeishiwa mafuta , nalo linaelekea kupanga foleni 

HIVI NDIVYO HALI HALISI ILIVYO JIJINI MBEYA TANGIA JANA MPAKA LEO , HALI YA MAFUTA NI TETE SANA , DALA DALA ZIMEPATA ULAJI ZINA TOZA ABIRIA 1000 KITUO HADI KITUO.

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

No comments: