Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, September 10, 2012

WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA KESHO WATAUNGANA NA WANAHABARI WOTE NCHINI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUPINGA MAUAJI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI IRINGA

KATIBU MKUU WA MBEYA PRESS CLUB KENNETH MWAZEMBE AKIONGEA NA WANAHABARI WA MKOA WA MBEYA

‎''MKAKATI WA KUFANYA MAANDAMANO KESHO YA MAUWAJI YA WAANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI UPO PALEPALE''BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIJADILIANA KWA KINA TARATIBU ZA MAANDAMANO KATIKA OFISI ZA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA(MBPC).


MWAKILILI MWANDISHI MKONGWE AKITOA HOJA KATIKA KIKAO HICHO

Waandishi wa habari mkoa wa Mbeya kesho Septemba 11,2012 wataungana na wanahabari wote nchini kufanya maanadamano ya amani kupinga mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa kituo cha channel ten Daudi Mwangosi yaliyofanika mnamo septemba 2, 2012 katika kijiji cha nyololo, Iringa

Maandamano hayo yatahusisha wanahabari wote mkoani Mbeya ambapo yataanzia eneo la Mafiati na kuishia katikati ya jiji la mbeya eneo la BP jirani na ofisi za TRA mkoa wa Mbeya maanadamano hayo yataanza
saa  tatu asubuhi,

No comments: