Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, September 4, 2012

Updates! Hivi ndivyo zilivyo kuwa shughuli nzima za kuuaga Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi Itete Tukuyu Mkoani Mbeya

 Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa una andaliwa kwa ajili ya kutolewa Heshima za mwisho
 Muheshimiwa Mark Mwandosya akitoa Heshima za Mwisho
 Muheshimiwa Dr Slaa akitoa Heshima za mwisho

 Ndugu jamaa na Marafiki wakitoa Heshima za Mwisho
Mke wa Marehemu akitoa heshia zake za Mwisho
 Ma elfu ya watu wakipita kutoa Heshima zao za mwisho
 Huko Jikoni Mambo yanaendelea 
 Mama Mzazi wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa analia kwa Uchungu

Dr Slaa akiwa pamoja na Mh. Mark Mwandosya

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG... Endelea kufuatilia Live

2 comments:

Anonymous said...

Eee Mungu utushindiye dhidi ya uharamia huu!

kelly said...

daah rest in peace jembe