Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, September 30, 2012

TATIZO LA AJIRA KWA WATOTO NANI ALAUMIWE

Hawa ni watoto wa mtaa wa kijani bichi kata ya sinde jijini Mbeya wakijiajiri kwa ajili ajili ya mahitaji yao ya kila siku na haya ndio maisha ya mtanzania wa kawaida lini tutafika masomo darasani yatapanda kwa stail hii.

No comments: