Sasa Live waandishi wa habari wakiwa wanajipanga kuendelea na Maandamano sasa kushoto wa kwanza ni Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu ndugu Joseph Mwaisango.
Safari sasa ndio inaanza hapa ya Maandamano
Baadhi ya waandishi wakiwa wanaendelea kutumiana ujumbe wa kufika pamoja kwa ajili ya maandamano
Sasa wanaendelea na maandamano
Akina dada waandishi nao hawapo nyuma wapo bega kwa bega katika maandamano
Sasa safari inaendelea
Kama inavyo onekana hapa waandishi wanachukua matukio yao ya kuweka kwa taarifa baadae, huku Mbeya yetu tukilileta Live
Sasa wanaendelea na maandamano
Endelea kufuatilia nini kinaendelea Tone Media tupo live moja kwa moja
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
No comments:
Post a Comment