Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, September 30, 2012

CLINIC ZETU WILAYANI CHUNYA MKOANI MBEYA

HUDUMA kama hii ya Clinic kwa watoto hufanyika mara moja kwa mwezi chini ya mti ambapo mtaalam anajitokeza na mizani kisha kuwapima watoto wadogo chini ya mti. Swali linabaki kuwa je Sera ya Afya ya mwaka 2007 je itatekelezeka kwa mwendo huu? hususani suala la Afya ya Mama na Mtoto?

Serikali hasa Wizara ya Afya chukueni hatua kuimarisha huduma za Afya Vijijini ili kuwe na uwiano wa huduma hizo kati ya Vijijini na Mijini

kwa hisani ya kalulunga Mbeya

No comments: