![]() |
| Dada akiuza sambusa na mihogo ndani ya uwanja wa John mwakangale jijini Mbeya |
![]() |
| Mama na mwana wakitembeza makoti ya kujikinga na baridi uwanjani hapo maana ikishaingia jioni ni baridi ile mbaya |
![]() |
| Nao wauza nyama hwawapo nyuma katika maonyesho haya ya nanenane yanayoendelea jijini Mbeya |
![]() |
| Wachoma nyama nao ni faida tupu kipindi hiki |
![]() |
| Wachezesha gulugulu wengine husema kamali nao wapo kazini kujipatia kipato chao katika maonyesho haya |
![]() |
| Hakika ni watu wengi sana wanaojitokeza kila siku kuja kutembelea mabanda na kuona burudani mbalimbali uwanjani hapa |







No comments:
Post a Comment