Uzio wakanisa la Mt anthony wa padua mbeya umevamiwa na wafanyabiashara ya mitumba na kutundika nguo na mashuka katika uzio huo |
Huu ni upande wa barabara ya kuingia katika hospitali ya rufaa mbeya |
Kama unavyoona wateja wakiendelea kuchagua nguo katika uzio huo wa kanisa |
Wengine wamepumzika kusubiri kuwaona wagonjwa wao waliolazwa katika hospitali ya rufaa |
No comments:
Post a Comment