MMOJA WA WAREMBO AKIWA ANAPITA HAPA MUDA HUU KUONESHA KIJIVAZI CHAKE
MREMBO NAMBA NNE HAKUWA NYUMA NA VAZI LAKE LA KUOGEREA
AKIWA NA TABASAMU KUBWA MREMBO MMOJA WAPO KATIKA MASHINDANO HAYA
WAREMBO WAKIWA WANAPISHANA MUDA HUU
WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO NI MGENI RASMI KAIMU KATIBU TAWALA WA WILAYA MH. GEOFFREY GEORGE ANNANIA AKIFUATIWA NA MMOJA WA WADHAMINI WA MASHINDANO HAYA MKURUGENZI WA ACCESS COMPUTERS SAMWEL NA MKE WAKE
COAST MODERN TAARABU WAMERUDI TENA KUTUMBUIZA
NI WAKATI WA VIDORE JUU WATU HAPPY PIPOO WANAFURAHIA
WANANCHI MBALI MBALI WAMEFIKA HAPA LIVE KUSHUHUDIA
MAMBO YANAENDELEA LIVE HAPA ENDELEA KUFUATILIA
TUKIO ZIMA LINALETWA KWENU NA TONE LIVE MEDIA GROUP WAMILIKI WA MTANDAO HUU
No comments:
Post a Comment