Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 6, 2012

LIVEEEE!!!! Madiwani Wilayani Mbozi Mkoa wa Mbeya wakabidhiwa Piki piki kwa ajili ya utendaji zaidi wa kazi

 Picha ya Pamoja ya Madiwani Muda mchache Baada ya kukabidhiwa Piki piki Hizo
 Mkuu wa wilaya Mbozi akimkabidhi diwani Piki piki
 Hizi ndizo piki piki walizo kabidhiwa Madiwani
 Furaha baada ya kukabidhiwa Piki piki hizo 
Mkuu wa wilaya ya Mbozi wa Tatu kushoto akiongea Kabla ya kukabidhi piki piki 
Picha na Mwandishi wetu aliyepo Mbozi

No comments: