Afisa utamaduni wa mkoa Mbeya George Jackson akikabidhiwa kombe toka kwa mshindi wa vishale Anna Mwakabonga katika sherehe fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Apple line jijini Mbeya |
| Wachezaji wa vishale (DARTS) Mkoa wa Mbeya wakishangilia ushindi walioupata jijini Mwanza hivi karibuni |
| Wadhamini wa mchezo wa vishale kampuni ya TBL wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na mmoja wawacheza vishale |
| Mwenyekiti wa vishale wa timu ya Apple LineWeston Asisya akimkaribisha mgeni rasmi |
| Mgeni rasmi afisa utamaduni wa mkoa akiongea na waalikwa pamoja na wachezaji waliohhiyo |
No comments:
Post a Comment