Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, May 2, 2012

MWENGE KUWASHWA MBEYA MEI 11 ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 170 KUTUMIKA

ZAIDI YA shilingi milioni 170/ zinatarajiwa kutumika na mkoa wa Mbeya katika uzinduzi wa mbio za mwenge Mwezi Mei 11 mwaka huu katika uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jiji hapa taarifa hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro hivi karibuni


Mkuu huyo wa Mmkoa alibainisha kuwa mwenge huo utawasha Mei 11 na kukimbizwa katika wilaya zote 8 za mkoa wa Mbeya ikiwepo wilaya mpya ya Momba baada ya hapo ataukabidhi mkoa wa Iringa     Mei 15 mwaka huu.
 
Sanjali na hili Mkuu huyo alitoa kauli mbiu ya mbio za mwenge mwaka huu kuwa ‘Sensa ni msingi wa maendeleo yetu’

No comments: