Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 3, 2012

LIVE !!! BAADA YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI MBEYA KUMALIZA MDAHARO NA MKUU WA MKOA JIJINI MBEYA SASA MUDA WA KUJIACHIA NA KU DANCE

 MMOJA YA WAANDISHI AKIONESHA MAKALI YAKE YA KUSAKATA DANCE MUDA HUU

 HAPA MAMBO YAMEPAMBA MOTO ZAIDI
 MMOJA YA WAANDISHI WA HABARI AKIONESHA KIPAJI CHAKE CHA KUIMBA
 KILA MTU HAPA NA UJUZI WAKE

SHEREHE INAENDELEA 

1 comment:

Anonymous said...

Watakuwa wanacheza wimbo wa injili tu, Mbeya bwana!