Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 11, 2012

MASHINDANO YA DARTS MBEYA MAGEREZA HOI KWA APPLE LINE

Moja ya wachezaji wa Magereza Fullmensi akirusha kishale katika mchezo huo baina ya Apple Line na Magereza

Mwenyekiti wa klabu ya Apple Line Weston Msisya  akisisitiza kwa refa kuwa hajakosea bali amelenga penyewe

Wachezaji wa timu zote mbili wakiwa makini kufuatilia mchezo huo

Mwenyekiti wa Apple Line msisya akitambulisha wachezaji wake katika mechi hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa magereza jijini Mbeya

Hapa si ugomvi bali ni kutambiana tu kila mmoja anamtambia mwenzake kuwa mechi ijayo atashinda

Wachezaji wa Apple Line na Magereza wakipongezana mara baada ya kumaliza mechi,  Apple Line waliibuka washindi katika mchezo huo wa vishale

1 comment:

Bufa said...

Umenikumbusha nyumbani aisee, hilo bwalo nimekaa sana, nimeangalia sana soka humo, nimekula sana chips hapo yani dah. Mzee Mbaga huyo pichani na koti leupe ndo mjumbe wetu mtaani kwetu, mfikishie salamu tafadhari. Am always on this site kujua nini kinaendelea Mbeya(mamaland), na kama bahati watu wengi kwenye picha nawajua mimi si ndo mtoto wa mbeya bwana. Ukiona hit from Indiana, USA ndo mimi mzazi. ONE