Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 25, 2012

Jijini Mbeya kunavyo onekana mida ya Jioni
2 comments:

Anonymous said...

Ahsante kwa kutuhabarisha, lakini waonaje uwe unaweka majina ya hizo sehemu kutusaidia ambao hatuijui Mbeya angalau tukajua kwamba hapo ni Mbeya sehemu gani!! Hiyo picha ya kwanza juu ndiyo mojawapo ya nyumba ambazo Mkuu mmoja wa mkoa aliyepita hapo mkoani alisema hata zikipigwa na teke la kuku zinaanguka!!!

Mwangwitwa Chris said...

Nimefurahia sana madhari nzuri ya jiji letu la Mbeya japo sipo Mbeya ni kijani kibichi kila sehemu,hivi niwaulize ndugu zangu hapo home kwanini tabia kupigana nondo inaendelea hapo Mbeya?tusaidiane waau