Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya |
Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu |
Wananchi wakiwatupia mawe polisi |
Mji mdogo wa chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi |
Hiki ndiyo kituo cha polisi lupa tingatinga chunya kilichoharibiwa na wananchi wenye hasira kali |
Hii ni nyumba ambayo walikuwa wakiishi askari wanaotuhumiwa kumuua mwanafunzi aliyetuhumiwa kuiba simu vifaa mbali mbali ya matumizi ya nyumbani vilichomwa moto na wananchi hao |
Mkuu wa polisi mkoa wa mbeya Advocate Nyombi akiongea na viongozi wa lupa tingatinga chunya jana |
Viongozi wa kijiji cha lupa tingatinga wakimsikiliza mkuu wa polisi mkoani mbeya jana Habari na picha tutawaletea baadae |
1 comment:
NI VITA POLISI NA RAIA HAKUNA MAELEWANO. JE TUTAFIKA?
Post a Comment