| Mgeni rasmi katibu tawala wa wilaya Rungwe Moses Mmdede akifungua mkutano huo wa mwaka wa wakulima wadogo wa chai kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho Bwana Jonson Mwakasege |
| Mkurugenzi wa chama cha wakulima wadogo wa chai Bwana Leby Hadson akisoma taarifa ya mwaka katika mkutano huo |
| Mhasibu wa chama hicho Bwana Juma Liganga akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya mwaka katika mkutano huo |
| Baadhi ya wanachama wa chama cha wakulima wadogo wa chai wakimsikiliza mgeni rasmi |
| Hii ndiyo bodi ya chama cha wakulima wadogo wa chai Rungwe |
| Mkutano unaendelea |
No comments:
Post a Comment