Shughuli ya maandamano Kuelekea viwanja vya Luanda Nzovwe kuazimisha Sherehe hizo
Wanawake mbali mbali wakiwa wanaingia katika viwanja hivyo vya Luanda Nzovwe
Wanawake wengine wakiwa wamebeba Mabango kuelekea katika sherehe za Siku ya wanawake Duniani Mkoani Mbeya
Mgeni Rasmi wa Tatu kutoka kulia akiendelea kupokea maandamano hayo
Picha ya NNE hadi ya TISA zinaonesha wanawake kutoka Sehemu mbali mbali wakiwa wanaingia katika viwanja vya Luanda Nzovwe kwa ajili ya kuazimisha Kilele cha siku yao
Wazee nao walikuwepo katika Sherehe hiyo ya wanawake Duniani
Mheshimiwa Geoffrey George Anania aliye valia koti jeusi na tshirt nyeupe pia alikuwepo kuwasindikiza wanawake katika sherehe yao.
Mtoto Huyu akiwa Bega kwa Bega na wazazi katika kuazimisha siku ya wanawake Duniani Jijini Mbeya katika viwanja vya Luanda Nzovwe
Baadhi ya vikundi vya kina mama vya Vikoba Jijini Mbeya
Mgeni Rarmi katika sherehe hizo akikagua baadhi ya mabanda wakati wa sherehe hizo
Meza kuu
Afisa Maendeleo Jamii Mkoa wa Mbeya Bi. Stella Kategile akisoma risala ya kuazimisha siku ya wanawake Duniani jijini Mbeya
Mwenyekiti wa Sherehe hizo Bi.Mary Tolemi akitoa Taarifa kwa Mgeni Rasmi
Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Betha Swai akiwahutubia wanawake pamoja na wananchi walio fika katika Sherehe za kuazimisha siku ya wanawake Duniani Jijini Mbeya, katika viwanja vya Luanda Nzovwe.
Wanawake Mbali mbali katika sherehe Hizo
Wanafunzi wakiwa Wanasikiliza kwa umakini Hotuba
Tukio Limeletwa Kwenu Live moja kwa moja muda huu kutoka Eneo la Tukio
No comments:
Post a Comment