Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, March 31, 2012

LICHA YA BI HARUSI KUINGIA MITINI SHEREHE YAENDELEA UKUMBINI JIJINI MBEYA USIKU HUU

Wanakamati wa harusi hii baadada ya kupewa taarifa yakuingia mitini bi harusi baadhi yao waliangua kilio ukumbini hapo

Wazazi wa bwana harusi wakishuusha maombi ukumbini hapo 

Wazazi na ndugu wa bwana harusi wakiwa mbele ya wageni waalikwa

Dada za bwana harusi pamoja na wazazi wakipokea zawadi kwa niaba ya bwana harusi ambaye naye alishindwa kuja ukumbini kwa machungu aliyonayo

Baadhi ya waalikwa hawaamini kilichotokea


Wapiga picha wapo hoi kwa kucheka

Hii ndiyo kadi ya wageni waalikwa waliyoingianayo ukumbini usiku huu


HABARI NA KISA CHOTE HIKI KUTAWALETEA KESHO BAADA YA WAHUSIKA WOTE KUONGEANAO

No comments: