Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, March 4, 2012

BREAKING NUUUZ: Ajali Mbaya dala dala zagongana uso kwa uso maeneo ya sinde jirani na Sangu secondari muda huu zaidi ya Abiria kumi wajeruhiwa

Muda mfupi baada ya ajali kutokea

 Polisi wakiwa wamefikaeneo la tukio kwa ajili ya kupima
 Hivi ndivyo Ajali inavyo onekana
Moja ya daladala hizo ambayo inaonekana ikiwa imeharibika baada ya ajali hiyo.

2 comments:

Anonymous said...

OMG hz ajal hadi lini Watanzania wenzangu!

Anonymous said...

Hivi hawa madereva wamepass kudrive, maana kila siku ajali,nani anahusika na usalama wa barabarani?