Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, March 31, 2012

Afisa tawala wa Wilaya Mbeya ashindwa kutoa tuzo za Mashidano ya White dent Quiz baada ya waandaji Benchmark Production kushindwa kuwalipa walimu posho zao na kugomea kufanyika kwa hafla hiyo.

Hii ndio stage iliyo kuwa imeandaliwa kwa ajili ya zawadi hizo

Wanafunzi wakiwa wanangojea kwa hamu kupokea tuzo hizo bila kujua kuwa zimaahirishwa 

Afisa Tawala wa wilaya ya Mbeya Ndugu Geoffrey George Annaniah ambaye pia alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu wa wilaya  akiwa anaondoka zake baada ya kuona kwamba hakuna Tuzo hizo

No comments: