Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, February 24, 2012

WAFANYABIASHARA SOKO LA SOKOINE JIJINI MBEYA WATISHIA KUGOMA ENDAPO JIJI HAWATAWAJENGEA CHOO

Wafanyabiashara wa soko la sokoine jijini mbeya wametishia kugoma endapo jiji halita wajengea choo kwani tangu wahamie sokoni hapo toka soko kuu la uhindini kuungua halamashauri ya jiji haijajenga choo na ushuru wa soko wanachukua kila siku na choo kilichopo ni cha mfanyabiasha wa kuuza pombe na supu uwanjani hapo na kina matundu mawili hivyo hakikidhi hali halisi ya wafanyabiashara hao takribani wanaofikia 800


Hiki ndicho choo kilichopo eneo hilo la soko chenye matundu mawili na kinahudumia zaidi ya watu 800 


No comments: