| Hii ndio hali halisi ya soko la mwambene jijini mbeya mvua bado inaendelea kunyesha |
| Nyumba za jirani na soko hilo la mwambene zikiwa zimezungukwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha |
| Maji ya mvua yana pita katikati ya barabara ya kuelekea sokoni hapo |
| Mifereji ya kupitisha maji hayo ya mvua hakuna kabisa |
No comments:
Post a Comment