| Mafundi wakikarabati jengo moja ya mitaa ya jijini mbeya huku wakiwa hawana hata kifaa kimoja cha kujikinga na ajali wawapo kazini |
| Stuli ndiyo ya kusimamia ghorofani hapo hana hata wasiwasi wakuanguka toka juu |
| Fundi mwenzake kashikilia ngazi isiteleze wote wakiwa ghorofa ya kwanza |
No comments:
Post a Comment