Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, January 13, 2012

MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DR.MARY MWANJELWA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANNJELWA NA KUJIBU KERO ZAO MBALI MBALI



Mh Dr. Mary Mwanjelwa  mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya akiongea na wananchi wa mwanjelwa  katika kiwanja cha sido


Mh. Mary Mwanjelwa akihutubia wananchi katikati ya madimbwi ya maji ya mvua  huku akisisitiza kuwa ataenda kumwona mkurugenzi wa jiji la mbeya na kumwomba aje afukie madimbwi hayo huku wananchi wakimshangilia kwa ahadi hizo


Habari kamili tutawaletea baadae

No comments: