Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, January 1, 2012

KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU AYUBU T. NYANGA

MAREHEMU AYUBU T. NYANGA


KWAKWELI BADO INATUWIA VIGUMU KUAMINI KUWA LEO IMETIMIA MIAKA MITANO  5  TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI MPENDWA WETU KAKA AYUBU INGAWA HAUPO NASI TENA KIMWILI, MOYO WAKO WA HEKIMA NA UPENDO UTAENDELEA KUBAKI NASI DAIMA NA KUENDELEA KUWA MWONGOZO WA MAISHA YETU KAKA YETU MPENDWA  UNAKUMBUKWA SANA NA WANAO, WADOGO ZAKO NA NDUGU NA JAMAA ZAKO WOTE TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KUTUPA NGUVU NA UJASIRI WA KUENDELEA KUTIMIZA NDOTO YAKO YA KUISHI KWA UPENDO NA MSHIKAMANO NA TUNAWASHUKURU SANA WOTE AMBAO WAMEKUWA NASI MUDA WOTE KATIKA KUKUKUMBUKA NA KUKUENZI

TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI 

1 comment:

Anonymous said...

Tulikupenda Kaka Ayubu, lakini Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi yetu, Jina lake Lihimidiwe, amen! Nakumbuka enzi zile tukisoma Mbeya Day, ulikuwa ukitoka kwa bibi yako mtaa wa Kanisa unapita karibu na kwetu tunaongozana kwenda shule kaka yangu!! Umetangulia, sote ni njia yetu!!!

Da Hafsa