Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, January 10, 2012

DKT. W. SLAA AINGIA JIJINI MBEYA JIONI HII

Dkt Slaa  akishangiliwa na wanachama wake alipokuwa akipita maeneo ya mwanjelwa
Dkt Slaa akikaribishwa na mbunge wa mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi mara baada ya kuingia maeneo ya uyole jijini Mbeya

Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi Mh David Silinde akisalimiana na dkt Slaa mara baada ya kuwasili jijini mbeya jioni hii 

Baadhi ya wabunge na wanachama wa chadema akimsikiliza Dkt Slaa mara baada ya kuwasili mbeya




No comments: