Baadhi ya wadau walio fika kutazama ajali ambayo ilitokea mida ya Sa ne asubuhi maeneo ya Mafiati Mbeya
Haya Ndio magari yaliyo kwaluzana wakati yakijitahidi kuwahi asubuhi mida ya saa nne maeneo ya Mafiati Mbeya
Ajali hii ilitokea Leo Mchana Eneo hilo hilo la Mafiati karibu na kituo cha OIL COM Mbeya
Gari ya Abiria ikiwa imetupwa pembeni na Land Cruiser Baada ya ajali hiyo
Hili ndilo Cruiser lililo kuwa na Haraka na Kusababisha ajali pia foleni maeneo ya Mafiati Mbeya Leo
No comments:
Post a Comment