Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, December 28, 2011

Sakata la mafuta Mkoani Mbeya Hali ni tete .. Vituo vyagoma kutoa mafuta kimoja chatoa mafuta na kuuza 10000 tuu kwa kila mtu

 Foleni kubwa ya Magari Kuelekea kupata Mafuta
 Baadhi ya watu wakiwa wanahaha Baada ya watoa mafuta kugoma kutoa mafuta eneo hilo leo mchana



 Madereva wakiwa wanajadiliana jinsi ya kupata mafuta katika eneo hilo pekee ambalo walikuwa wakitoa huduma hiyo ya mafuta

 Huduma ya Kutoa mafuta ikiwa imeanza, Kijana anae onekana na dumu la lita 20 akiwa anaenda kupata mafuta na kuishiwa kupewa lita Mbili pekee
 Mdau akiwa amebeba mafuta lita mbili ambazo alikuwa hana ujanja wa kupata mafuta zaidi ya Hapo
**********
Huku watoa mafuta wakiwa wamegoma kutoa mafuta katika maeneo mbali mbali Tanzania, Jijini Mbeya nako sakata hili limeendelea kwa kasi ya ajabu ambapo vituo vichache sana ndio wanatoa mafuta, na kuuza kwa kujipangia bei wenyewe..

Mtandao huu ukiongea na baadhi ya wadau wamesema kuwa wanasikitishwa sana na mateso wanayo yapata huku serikali ikiwa haina tamko lolote.

Hata hivyo bado haileweki sakata hili litaisha Lini

No comments: