| Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia baadhi ya wafanyabiashara na watumishi mbali mbali waliyohudhuria siku ya maadhimisho ya mlipakodi yaliyofanyika katika viwanja vya soko kuu mwanjelwa |
| Kaimu meneja wa TRA mkoa wa mbeya bwana Mukama akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya |
| Mwenyekiti wa wafanya biashara mkoa wa mbeya Mzava akisoma risala ya wafanyabiashara wa mkoa wa mbeya |
| Baadhi ya wafanyabiashara na watumishi wa TRA wakimsikiliza mkuu wa mkoa mbeya |
| Wafanyabiashara ndogondogo wakimsililiza mkuu wa mkoa mbeya |
No comments:
Post a Comment