Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, December 28, 2011

Kiota kipya kabisa Jijini Mbeya cha Maraha Hill View Hotel







 Hivi ndivyo majengo ya Hotel hii yanavyo onekana ikiwa ni sehemu za Kupumikia kupata chakula na mambo mbali mbali, Fika bila kukosa mala utuapo Jijini Mbeya
 Hii ni sehemu ya nyuma ya Hotel ambapo unaweza kupumzika na Ndugu jamaa na Marafiki
 Hili ni eneo la mbele kabisa ambapo kuna upepo manana na watu hupenda kupumzika hapo kupata vinywaji na Chakula Baadhi ya wadau ambao walifika kutembelea na kula Maraha Hotel hiyo
Hivi ni Baadhi ya vya kula vyenye ubora wa Kimataifa ambavyo havipikwi eneo lolote lakini Hill View Hotel 
*************
Hill View Hotel   ni Hotel yenye hadhi ya Kimataifa inayo patikana Jijini Mbeya Maeneo ya Uzunguni. Hotel hii inakila kitu ikiwa ni sehemu ya Kupata chakula kizurri, kulala na mambo mengine mengi, Usikose kufika hapa ukija Mkoa wa Mbeya


2 comments:

Anonymous said...

Helow hillview htl,am juliet nilikuwa mmoja wa staff hapo na ndiye wakwanza tuliyeifungua,s sure that place ni nzuri sana haina mfano na mimi huku niliko huwa naitangaza sana na kuipa sifa zote.kwakweli hakuna hotel mbeya nzima ambayo inaweza kuifikia hillview.congr.MR.SAIMON

Anonymous said...

Hongera Hill View Hotel,mimi Abdallah Seleiman nilikuwa hapo Hill View Hotel Mwanzoni mwa mwaka huu nikalala siku tano.Wafanyakazi ni wazuri,mazingira ni mazuri sana,rangu na mpangilio wa majengo ni wa kimataifa.Ambao hamjafika Hill View Hotel tafadhali fikeni bila kukosa.
Honereni staff and Management in General.