Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 18, 2011

WANAWAKE NA MAENDELEO WASONGE MBELE MKOANI MBEYA

Bi Bi. Jane Mahenge akiwa katika shughuli zake za utengenezaji wa Masweta yanayotumiwa na wanafunzi ya shule mbalimbali za Msingi na Sekondari mkoani Mbeya. Baada ya kumaliza kidato cha Nne katika shule ya Sekondari Ivumwe jijini Mbeya, alifikia uamuzi wa kujifunza kufuma masweta kwa lengo la kujikimu kiuchumi katika kipindi cha kusuburi matokeo ya Kidato cha Nne kutoka.

1 comment:

Anonymous said...

hongera Jane, kweli we unafaa, wafundishe na wasichana wenzio kazi kama hizo ili waache umalaya wawe bize kama wewe. mdau DSM